요청한 문서 / 비디오는 아직 존재하지 않습니다.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
המאמר / הסרטון שביקשת אינו קיים עדיין.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
Sehemu hii inachunguza maisha ya Mtume Isa, ujumbe wake, miujiza yake, wanafunzi wake na kile kinachotajwa juu yao katika Kurani Tukufu.
Sehemu hii inaangazia aya za Kurani Tukufu zinazozungumzia ulinzi wa Mwenyezi Mungu kwa Isa, wafuasi wake, ujio wake wa pili katika ulimwengu huu na yale atakayokumbana nayo Siku ya Kiyama.
Uthibitisho kutoka kwa Matendo ya Mitume kwamba Yesu hakuwa Mungu.
Biblia inaonyesha waziwazi kwamba Yesu hakuwa mwenye nguvu zote na ujuzi wote kama jinsi Mungu wa kweli anavyopaswa kuwa.
Ipi ni amri ya kwanza na kuu kuliko zote katika Biblia, ambayo ilisisitizwa na Yesu.
Watu wengi hutumia maandishi ya Paulo kama uthibitisho kwamba Yesu ni Mungu. Lakini hii sio haki kwa Paulo, kwa sababu Paulo aliamini wazi kwamba Yesu sio Mungu.
Uthibitisho wa wazi kutoka kwa Injili ya Yohana kwamba Yesu hakuwa Mungu.
Watu wengi hutumia mistari fulani ya Biblia kama uthibitisho kwamba Yesu ni Mungu. Hata hivyo, aya hizi zote, zinapoeleweka katika muktadha, zinathibitisha kinyume chake!
Mahali alizotajwa Isa mwana wa Maryamu katika Qur'ani na maneno ya Mtume Muhammad.
Hali halisi ya Yesu na ujumbe wake katika Kurani, na umuhimu wa Bibilia leo kuhusiana na imani za Waislamu.
Muujiza mwingine wa Yesu unaelezwa. Umuhimu halisi wa muujiza wa meza, kuenea kwa vyakula.
Makala hii inaelezea imani ya Waislamu kuhusu Isa na kusulubiwa. Pia inakanusha dhana ya uhitaji wa ‘dhabihu’ ili kulipia dhambi ya asili kwa niaba ya wanadamu.
Muhtasari wa baadhi ya istilahi zilizotumiwa na Kurani kwa ajili ya Isa na wafuasi wake kabla ya ujio wa Muhammad: "Bani Israeel”, “Eissa” na "Watu wa Kitabu".
Makala ya kwanza kati ya sehemu mbili zinazozungumzia nafasi ya kweli ya Yesu. Sehemu ya 1: Inajadili kama Yesu alijiita Mungu, Yesu alirejelea kama Bwana na asili ya Yesu.
Makala ya pili kati ya sehemu mbili zinazozungumzia nafasi ya kweli ya Yesu. Sehemu ya 2: Inajadili ujumbe wa Yesu, imani ya Wakristo wa mapema na mtazamo wa Uislamu juu ya Yesu.
Ingawa Biblia imebadilishwa, bado kuna mistari iliyo wazi na ya uwazi inayoonyesha kwamba Yesu sio Mungu. Sehemu ya 1: Utangulizi na orodha ya baadhi ya aya hizi.
Ulinganisho kati ya watu wa ajabu wa yesu, Wakristo, Yesu na Waislamu! Kumbukumbu za mtu aliyesilimu.
Jinsi waandishi wa Biblia wanavyoamini kwamba Yesu hakuwa Mungu.
Je, Kweli Ukristo unafuata mafundisho ya Yesu na manabii wa awali?
Amri ambayo, ikizingatiwa, itamfanya mtu asiwe mbali na Ufalme wa Mungu.
Uchunguzi wa kiuchambuzi katika msingi na uthibitisho wa kusulubishwa kwa ajabu kwa Yesu Kristo.
Ushahidi kutoka Bibilia kuwa Muhammad si Mtume wa uwongo. Sehemu ya 2: Uchambuzi kuhusu jinsi utabiri ulio katika Kumbukumbu la Torati 18:18, na vile sifa za Muhammad zinaafikiana na utabiri huu zaidi ya wengine.
Ushahidi wa Biblia kwamba Muhammad si nabii wa uongo. Sehemu ya 3: Majadiliano juu ya utabiri uliotajwa katika Yohana 14:16 wa Paraklete, au “Msaidizi”, na jinsi Muhammad anavyoafikiana na utabiri huu zaidi ya wengine.
Ushahidi wa Bibilia kuwa Muhammad si Mtume wa uongo. Sehemu ya 4: Uchambuzi wa ziada kuhusu utabiri uliotajwa katika Yohana 14:16 wa Paraklete, au 'Msaidizi' na jinsi Muhammad anaafikiana na utabiri huu zaidi ya wengine.
Angalia kile wasomi wa Kikristo wa Kiyahudi wanasema juu ya ukweli na uhifadhi wa Agano Jipya.
Angalia kile baadhi ya Wasomi Wakubwa wa Kikristo wamesema kuhusu usahihi wa Biblia.
Mifano kadhaa ya ufafanuzi katika Biblia, kama ilivyotajwa na wasomi wa Kikristo.
Ushahidi wa ukinzani unaopatikana na Wasomi wa Kikristo kutoka kwenye masimulizi ya waandishi wanaodaiwa wa Agano Jipya.
Maandiko ya Kikristo "yamerekebishwa" na Wakristo wa Orthodoksi.
Tafsiri zingine mpya za Biblia sasa zinaanza kutaja ukinzani na mashaka ya vifungu.
Mifano zaidi ya kuchezea Biblia
Wajibu wa Kanisa katika kuficha na kuuchezea ukweli.
Jinsi wazo la Utatu lilivyoingizwa katika mafundisho ya Kikristo.
Jinsi mafundisho yaliyoingizwa ya utatu yalibaki kuwa sehemu ya imani ya Wakristo na jinsi Uislamu unavyomfafanua Mungu.
Dhana ya dhambi ya asili katika Uyahudi, Ukristo, na Uislamu.
Makala ya pili kati ya sehemu tatu zinazozungumzia dhana ya Kiislamu ya Mariamu: Sehemu ya 2: Matamshi yake.
Mwisho wa makala yenye sehemu tatu inayozungumzia dhana ya Kiislamu ya Mariamu: Sehemu ya 3: Kuzaliwa kwa Yesu, na umuhimu na heshima Uislamu unampa Mariamu, mama yake Yesu.
Sehemu hii inachunguza maisha ya Mtume Isa, ujumbe wake, miujiza yake, wanafunzi wake na kile kinachotajwa juu yao katika Kurani Tukufu.
Sehemu hii inaangazia aya za Kurani Tukufu zinazozungumzia ulinzi wa Mwenyezi Mungu kwa Isa, wafuasi wake, ujio wake wa pili katika ulimwengu huu na yale atakayokumbana nayo Siku ya Kiyama.
Hadithi fupi ya mama yetu Maria na kuzaliwa kimiujiza kwa Yesu.
Makala hii inaeleza yale yaliyompata Maryamu baada ya kuwa chini ya ulezi wa Mtume Zakaria. Inasimulia jinsi malaika Gabrieli alivyotangaza kuzaliwa kwa mtoto wa kipekee, jinsi alivyokabiliana na kujifungua mtoto wake, na kusimulia baadhi ya miujiza iliyotukia wakati Yesu alipozaliwa.
Makala ya kwanza kati ya sehemu tatu zinazozungumzia dhana ya Kiislamu ya Mariamu: Sehemu ya 1: Kipindi cha Utoto wake.
Wengi wanaamini kimakosa kwamba Uislamu hauvumilii kuwepo kwa dini nyingine zilizopo duniani. Makala haya yanazungumzia baadhi ya misingi ambayo Mtume Muhammad mwenyewe aliiweka katika kushughulika na watu wa imani nyingine, kwa mifano ya vitendo toka enzi za uhai wake. Sehemu ya 2: Mifano zaidi kutoka kwa maisha ya Mtume ambayo inaonyesha uvumilivu wake kwa dini nyingine.
Wengi wanaamini kimakosa kwamba Uislamu hauvumilii kuwepo kwa dini nyingine zilizopo duniani. Makala hii inazungumzia baadhi ya misingi ambayo Mtume Muhammad mwenyewe aliiweka katika kushughulika na watu wa imani nyingine, kwa mifano ya kivitendo toka enzi za uhai wake. Sehemu ya 1: Mifano ya uvumilivu wa kidini kwa watu wa imani nyingine inayopatikana katika katiba ambayo Mtume aliiweka Madina.
Historia ya Mashahidi wa Yehova.
Mashahidi wa Yehova wanatabiri tukio ambalo Mungu alitangaza kulijua Yeye pekee.
Ulinganisho mdogo wa imani za Mashahidi wa Yehova na Uislamu.
Kuanzia mifumo ya imani iliyoachwa hadi uchawi wa zama mpya.
Uislamu na Wicca - je zinaendana kwa namna yoyote?
Orodha ya unazozipenda ipo tupu. Unaweza kuongeza makala kwenye orodha hii kwa kutumia zana za makala.
Orodha yako ya historia ipo tupu.
Kwa nini kujiandikisha? Tovuti hii ina miundo kadhaa uliyoundwa mahsusi kwa ajili yako, kama vile: vipendwa vyako, historia yako, kutia alama makala ambazo umezitazama awali, kuorodhesha makala zilizochapishwa tangu ulivyo tembelea mara ya mwisho, kubadilisha ukubwa wa herufi, na zaidi. Vipengele hivi vinatokana na vidakuzi na vitafanya kazi ipasavyo tu unapotumia kompyuta ile ile. Ili kuwezesha vipengele hivi kutoka kwa kompyuta yoyote, unapaswa kuingia wakati katika tovuti hii.
Tafadhali ingiza Jina lako la mtumiaji na anwani ya barua pepe kisha ubofye kitufe cha Tuma neno la siri. Utapokea neno la siri jipya hivi karibuni. Tumia neno la siri hili jipya kufikia tovuti.