L'articolo / video che hai richiesto non esiste ancora.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
요청한 문서 / 비디오는 아직 존재하지 않습니다.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
המאמר / הסרטון שביקשת אינו קיים עדיין.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
L'articolo / video che hai richiesto non esiste ancora.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
요청한 문서 / 비디오는 아직 존재하지 않습니다.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
המאמר / הסרטון שביקשת אינו קיים עדיין.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
Baada ya kulelewa katika nyumba ya Kikatoliki na kutumia sehemu kubwa ya utotoni mwake kuhudhuria kanisa, Craig anakataa imani na kujiingiza maisha ya anasa.
Baada ya kupata njia yake ya kurudi kwa Ukristo, Craig anasalitiwa na marafiki zake na anapotea tena, hadi anapopatana na Muislamu akiwa kazini.
Mazungumzo na mwimbaji wa zamani wa rapu, nyota EverLast na safari yake kuelekea Uislamu. Sehemu ya 1.
Mazungumzo na mwimabji wa zamani wa rapu, nyota EverLast na safari yake ya kuelekea Uislamu. Sehemu ya 2.
Baada ya kuchoka na maswali yasiyojibiwa katika imani yake, mtafutaji ukweli anatafuta mwanga katika dini za Mashariki, dini za kitamaduni, na hatimaye anaupata katika Uislamu.
Baada ya kujiingiza katika anasa za vijana wengi, Dawood anapata imani yake katika Uislamu baada ya kukataliwa na Kanisa Katoliki.
Jitihada za mtu binafsi za kujifunza mistari halisi zaidi ya Biblia, mistari ya Q, zinamwongoza kwa Uislamu. Sehemu ya kwanza: Tatizo la Ukristo wa kisasa.
Jitihada za mtu binafsi za kujifunza mistari halisi zaidi ya Biblia, mistari ya Q, zinamwongoza kwa Uislamu. Sehemu ya pili: Ulinganisho na Qur'ani.
Utafiti wangu usio wa kutafuta ukweli bila kuchoka.
Jinsi tabia njema za Waislamu na hekima katika mafundisho ya Uislamu zilimvutia Sam kwa Uislamu.
Mapenzi ya James kwa Uislamu yalianza kwa kujua dhana ya umoja wa Mungu, kuona jinsi Waislamu wanavyoswali na upendo na uaminifu wanayo kwa Mtume Muhammad.
Mkatoliki thabiti anapoteza imani baada ya kusoma Biblia, lakini imani yake isiyoisha kwa Mungu inamwongoza achunguze dini nyingine.
Kusoma Uislamu kunamfanya Diane awapende tena Yesu na Maria, lakini upendo wa kweli kwa nuru mpya.
Diane anaeleza kukubali kwake kwa Uislamu, maisha yake mapya, na maombi kwa ajili ya Amerika.
Kutoka kwa familia na jamii iliyovunjika, mwanamke mmoja anapata msaada kutoka kwa marafiki wengine wa Kiislamu.
Kutokana na uzoefu mbalimbali wa maisha, Dkt. Owens anahisi ukosefu wa hisia ya kuwa mmoja wa jamii ya Marekani na Magharibi na anaangalia kwingine ili apate Mwongozo.
Akitembea katika duka la vitabu kutafuta mwongozo, Akifah anapata kitabu kuhusu Uislamu.
Mkristo wa zamani anajadili mambo ya Kikristo ambayo aliyaona hayapatani na akili na alivyozingatia Uyahudi.
Baada ya kujua kuhusu Uislamu katika chumba cha mazungumzo mtandaoni, Kristin anajikuta akilia huku akisoma Qurani katika maktaba huku akitafiti dini.
Safari yake kutoka Ufilipino hadi Saudi Arabia.
Sisi sote tumezaliwa na mwelekeo wa kiasili wa kumwabudu Mungu na jitihada zangu kwa ajili Yake zilianza nikiwa na umri mdogo sana.
Hatua zangu ndogo ndogo kuelekea kwa Mwenyezi Mungu na kuingia kwangu katika Uislamu
Mhudumu kiongozi na mchekeshaji alichukizwa na imani yake.
Makutano yake ya kwanza na Waislamu na imani, na hatimaye kuukubali Uislamu.
Mvulana aliyewahi kupotoshwa anapata wokovu wake kupitia Kanisa la Kipentekoste na anajibu wito wake wa huduma akiwa na umri wa miaka 20, baadaye kuwa Muislamu. Sehemu ya 1.
Mvulana aliyewahi kupotoshwa anapata wokovu wake kupitia Kanisa la Kipentekoste na anajibu wito wake wa huduma akiwa na umri wa miaka 20, baadaye kuwa Mwislamu. Sehemu ya 2: "Kila kitu kinachong'aa si dhahabu."
Mvulana aliyewahi kupotoshwa anapata wokovu wake kupitia Kanisa la Kipentekoste na anajibu wito wake wa huduma akiwa na umri wa miaka 20, baadaye kuwa Muislamu. Sehemu ya 3: "Kuzaliwa kutoka gizani kuingia kwenye nuru."
Kasisi ambaye wakati mmoja alieneza kwa bidii imani potofu kuhusu Uislamu anaukubali Uislamu (sehemu ya 1).
Kasisi ambaye wakati mmoja alieneza kwa bidii imani potofu kuhusu Uislamu anaukubali Uislamu (sehemu ya 2).
Mwanafunzi mwaminifu wa mwanazuoni mashuhuri wa Kikristo huko Andalusia ya zamani anasikia mazungumzo kuhusu Paraclete, nabii ajaye anayetajwa katika Biblia.
Mwanafunzi wa miaka minane wa masomo rasmi ya theolojia anakubali Uislamu kutokana na uthabiti wa ujumbe wake.
Aliyekuwa Kasisi wa Kikatoliki wa Uingereza aukubali Uislamu baada ya kusoma Quran na makutano yake na Waislamu.
Kasisi wa Kirumi Mkatoliki wa madhehebu ya Uniate-Caldean abadili dini na kuwa Muislamu.
Jinsi Rabi wa kwanza wa Kiyahudi alivyosilimu.
Akitangatanga katika dini, kasisi wa Marekani anaukubali Uislamu.
Mmoja wa watu mashuhuri wa muziki wa miaka ya 70 na utaftaji wake wa ukweli. Sehemu ya 1: Maisha kama mwanamuziki.
Mmoja wa watu mashuhuri wa muziki wa miaka ya 70 na utaftaji wake wa ukweli. Sehemu ya 2: Quran na kuukubali Uislamu.
Kaka wa nyota maarufu duniani Michael Jackson anasimulia jinsi alivyoukubali Uislamu. Sehemu 1.
Kaka wa nyota maarufu duniani Michael Jackson anasimulia jinsi alivyoukubali Uislamu. Sehemu ya 2.
Hadithi ya mmoja wa mwanamapinduzi mashuhuri wa Mmarekani mweusi aligundua Uislamu wa kweli, na jinsi unavyotatua tatizo la ubaguzi wa rangi: Sehemu ya 1: Taifa la Uislamu na Hija.
Hadithi ya mmoja wa wanamapinduzi mashuhuri wa Mmarekani mweusi ugunduzi wa Uislamu wa kweli, na jinsi unavyosuluhisha tatizo la ubaguzi wa rangi: Sehemu ya 2: Mtu mpya mwenye ujumbe mpya.
W. B. Bashyr Pickard B.A. (Cantab), L.D.(London), mwandishi maarufu ambaye ameandika Layla and Majnun, The Adventures of Alcassim, na A New World, anasimulia hadithi yake ya utafutaji wake wa Uislamu baada ya kupata majeraha mabaya katika Vita vya Pili vya Ulimwengu.
Hadithi ya profesa mshirika na baadaye mwandishi wa vitabu vitatu safari ya kuelekea Uislamu.
Mshindi wa Tuzo ya Wilbur ya 2003 ya kitabu bora cha mwaka kwenye mada ya dini, mwandishi na mshairi na kuonekana kwenye "Nightline" ya Ted Koppel inayoandika Hija, Michael Wolfe anaelezea motisha zake za kuukubali Uislamu.
Mshairi, mhakiki wa fasihi, mwandishi, mhariri mkuu wa Radio Personalities, na mwandishi wa vitabu vya "Beyond the Brim" na "Bazaar of Dreams" anaeleza sababu za yeye kuukubali Uislamu.
Hadithi ya jinsi mwanadiplomasia na balozi wa Ujerumani nchini Algeria alikubali Uislamu. Sehemu ya 1.
Hadithi ya jinsi mwanadiplomasia na balozi wa Ujerumani nchini Algeria aliukubali Uislamu. Sehemu ya 2.
Mwandishi wa gazeti la Frankfurter Zeitung, mojawapo ya magazeti yenye hadhi ya Ujerumani na Ulaya, anakuwa Muislamu na baadaye kutafsiri maana za Quran. Sehemu 1.
Mwandishi wa gazeti la Frankfurter Zeitung, mojawapo ya magazeti yenye hadhi ya Ujerumani na Ulaya, anakuwa Muislamu na baadaye kutafsiri maana za Quran. Sehemu 2.
Mwandishi wa habari wa zamani aliyefungwa huko Taleban Afghanistani, Yvonne Ridley anaielezea BBC kukutana kwake na Uislamu na nini kilimfanya kusilimu.
Anajulikana kwa slam dunks na "skyhook", Kareem Abdul-Jabbar anagundua upande mwingine wa maisha, hali ya kiroho, na kuukubali Uislamu.
Mmoja wa masahaba wakubwa, Salman Mwajemi, wakati mmoja Zoroastrian (Magian) anasimulia hadithi yake ya utafutaji wake wa dini ya kweli ya Mungu. Sehemu ya Kwanza: Kutoka Uzoroastria hadi Ukristo.
Utafutaji mrefu hatimaye unamalizika kwa Salman kukutana na Mtume aliyeahidiwa, na kupata uhuru wake na kuwa mmoja wa masahaba wake wa karibu.
Jinsi gani, Sara Bokker, mwigizaji wa zamani, mwanamitindo, mwalimu wa mazoezi ya mwili na mwanaharakati aliacha maisha ya kupendeza ya Miami kwaajili ya Uislamu na kupata ukombozi wa kweli katika Uislamu na kanuni za mavazi ya wanawake wa Kiislamu.
Orodha ya unazozipenda ipo tupu. Unaweza kuongeza makala kwenye orodha hii kwa kutumia zana za makala.
Orodha yako ya historia ipo tupu.
Kwa nini kujiandikisha? Tovuti hii ina miundo kadhaa uliyoundwa mahsusi kwa ajili yako, kama vile: vipendwa vyako, historia yako, kutia alama makala ambazo umezitazama awali, kuorodhesha makala zilizochapishwa tangu ulivyo tembelea mara ya mwisho, kubadilisha ukubwa wa herufi, na zaidi. Vipengele hivi vinatokana na vidakuzi na vitafanya kazi ipasavyo tu unapotumia kompyuta ile ile. Ili kuwezesha vipengele hivi kutoka kwa kompyuta yoyote, unapaswa kuingia wakati katika tovuti hii.
Tafadhali ingiza Jina lako la mtumiaji na anwani ya barua pepe kisha ubofye kitufe cha Tuma neno la siri. Utapokea neno la siri jipya hivi karibuni. Tumia neno la siri hili jipya kufikia tovuti.