Uislamu sio dini mpya, bali ni ujumbe ule ule uliohubiriwa na manabii wote waliotangulia kama vile Nuhu, Ibrahimu, Musa na Isa (amani iwe juu yao wote). Lakini ujumbe wa mwisho wa Mungu kwa wanadamu ulifunuliwa kwa mtume wa mwisho, Muhammad, kama ufufuo wa mafundisho yaliyopotea ya mitume waliotangulia na kama uthibitisho wa ujumbe wa milele.
Kuwa Muislamu ni mchakato rahisi. Anachopaswa kufanya mtu ni kutamka kwa usadikisho sentensi iitwayo Ushuhuda wa Imani (Shahada).
Tunaweza pia kuwapa nyenzo na ushauri muhimu kwa waliobadili hivi karibuni na , ili kuwasaidia kuanza na imani yao mpya.
Makala zinazohusiana:
Kwa Waislamu waliozaliwa Waislamu ambao wanahitaji fatwa (hukumu ya Kiislamu), tafadhali wasilisha maswali yako kwenye
www.islamqa.info.