Je, kuenea kwa Uislamu Kuliathiri Vipi Maendeleo ya Kisayansi?

Ukadiriaji:
Ukubwa wa herufi:
A- A A+

Maelezo: Katika usawa wa roho ya Uislamu katika kutafuta maarifa, Waislamu na jamii ya Kiislamu wamecheza nafasi nyeti ndani ya maendeleo ya sayansi na teknolojia ndani ya ulimwengu tunaoujua leo.

  • Na islam-guide.com
  • Iliyochapishwa mnamo 01 Dec 2021
  • Ilirekebishwa mara ya mwisho mnamo 18 Nov 2021
  • Ilichapishwa: 2
  • Imetazamwa: 1,977 (wastani wa kila siku: 2)
  • Ukadiriaji: bado hakuna
  • Imekadiriwa na: 0
  • Imetumwa kwa barua pepe: 0
  • Ilitoa maoni kuhusu: 0
Mbaya Nzuri zaidi

How_Did_the_Spread_of_Islam_Affect_the_Development_of_Science_001.jpgUislamu inamuagiza mwanadamu kutumia nguvu ya akili yake na uchunguzi. Katika miaka michache ya kuenea kwa Uislamu, ustaarabu mkubwa na vyuo vikuu vilishamiri. Mchanganyiko wa mawazo ya Mashariki na Magharibi, na mawazo mapya yakiwa na yale ya zamani,yalileta maendeleo makubwa katika madawa, hesabati, fizikia, unajimu, jiografia, usanifu, sanaa, fasihi, na historia. Mifumo mingi muhimu, kama vile algebra, namba za kiarabu, na wazo la sifuri (muhimu katika hisabati ya juu), ilipitishwa Ulaya ya enzi za kati kutoka katika ulimwengu wa Kiislamu. Vyombo vya kisasa ambavyo vilifanikisha safari za kigunduzi za vyombo vya Ulaya, kama vile astrolabu, roboduara, na ramani nzuri za kusafiria, pia zilitengenezwa na Waislamu.

How_Did_the_Spread_of_Islam_Affect_the_Development_of_Science_002.jpg

Astrolabu: Moja ya kifaa muhimu cha kisayansi kilichotengenezwa na Waislamu ambacho pia kilitumiwa sana Magharibi hadi zama za kisasa.

How_Did_the_Spread_of_Islam_Affect_the_Development_of_Science_003.jpg

Madaktari wa Kiislamu walikuwa makini katika upasuaji na kutengeneza vifaa vingi vya upasuaji kama inavyoonekana kwenye andiko hili la zamani.

Mbaya Nzuri zaidi

Ongeza maoni

  • (Haitaonyeshwa kwa umma)

  • Maoni yako yatakaguliwa na yanapaswa kuchapishwa ndani ya saa 24.

    Sehemu zilizo na alama ya nyota (*) zinahitajika.

Makala Nyingine katika Aina moja

Iliyotazamwa Zaidi

Kila siku
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
jumla
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)

Chaguo la Mhariri

(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)

Orodha Yaliyomo

Tangu ulivyo tembelea mara ya mwisho
Orodha hii ipo tupu kwa sasa.
Zote kwa tarehe
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)

Maarufu sana

Iliyokadiriwa juu zaidi
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
Iliyotumwa  kwa barua pepe zaidi
Iliyochapishwa zaidi
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
Iliyotolewa maoni zaidi

Unazozipenda

Orodha ya unazozipenda ipo tupu. Unaweza kuongeza makala kwenye orodha hii kwa kutumia zana za makala.

Historia yako

(Soma zaidi...) Ondoa