“Mola akasema: ‘Kitu gani kilichokuzuia (Wewe Shetani) kusujudu nilipo kuamrisha?’ Iblees (Shetani) akajibu: ‘Mimi ni bora kuliko yeye (Adam). Umeniumba kutokana na moto, na umemuumba yeye kutokana na udogo.” (Kurani 7:…
(Soma zaidi...) 10 Dec 2021Kwa hivyo, maisha haya ndiyo nafasi yetu ya pekee ya kupata Pepo na kuepukana na Moto wa Jahannamu, kwa sababu mtu akifa akiwa hajaamini, hatakuwa na nafasi nyingine ya kurejea katika ulimwengu huu ili aweze kuamini.
(Soma zaidi...) 29 Nov 2021Katika mwaka wa sita baada ya Mtume kulazimishwa kuhama kutoka Makka kwenda Madina, alijiona akitembelea Makka na kuhiji katika maono yaliyotajwa ndani ya Kurani: “Hakika Mwenyezi Mungu amemtimizia Mtume wake ndoto ya haki. Bila ya shaka nyinyi mtauingia , Inshallah, …
(Soma zaidi...) 10 Dec 2021Ujumbe wa Uislamu ni sawa sawa na msingi wa ujumbe uliofunuliwa na dini zote, kwakuwa zote zimetoka katika …
Kusilimu ni wepesi. Nakala hii inaelezea jinsi ya kusilimu kwa njia rahisi. Isitoshe, inatoa muhtasari wa Uislamu, …
Orodha ya unazozipenda ipo tupu. Unaweza kuongeza makala kwenye orodha hii kwa kutumia zana za makala.
Orodha yako ya historia ipo tupu.
Kwa nini kujiandikisha? Tovuti hii ina miundo kadhaa uliyoundwa mahsusi kwa ajili yako, kama vile: vipendwa vyako, historia yako, kutia alama makala ambazo umezitazama awali, kuorodhesha makala zilizochapishwa tangu ulivyo tembelea mara ya mwisho, kubadilisha ukubwa wa herufi, na zaidi. Vipengele hivi vinatokana na vidakuzi na vitafanya kazi ipasavyo tu unapotumia kompyuta ile ile. Ili kuwezesha vipengele hivi kutoka kwa kompyuta yoyote, unapaswa kuingia wakati katika tovuti hii.
Tafadhali ingiza Jina lako la mtumiaji na anwani ya barua pepe kisha ubofye kitufe cha Tuma neno la siri. Utapokea neno la siri jipya hivi karibuni. Tumia neno la siri hili jipya kufikia tovuti.