L'articolo / video che hai richiesto non esiste ancora.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
요청한 문서 / 비디오는 아직 존재하지 않습니다.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
המאמר / הסרטון שביקשת אינו קיים עדיין.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
L'articolo / video che hai richiesto non esiste ancora.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
요청한 문서 / 비디오는 아직 존재하지 않습니다.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
המאמר / הסרטון שביקשת אינו קיים עדיין.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
Mmoja wa watu mashuhuri wa muziki wa miaka ya 70 na utaftaji wake wa ukweli. Sehemu ya 1: Maisha kama mwanamuziki.
Mmoja wa watu mashuhuri wa muziki wa miaka ya 70 na utaftaji wake wa ukweli. Sehemu ya 2: Quran na kuukubali Uislamu.
Kaka wa nyota maarufu duniani Michael Jackson anasimulia jinsi alivyoukubali Uislamu. Sehemu 1.
Kaka wa nyota maarufu duniani Michael Jackson anasimulia jinsi alivyoukubali Uislamu. Sehemu ya 2.
Hadithi ya mmoja wa mwanamapinduzi mashuhuri wa Mmarekani mweusi aligundua Uislamu wa kweli, na jinsi unavyotatua tatizo la ubaguzi wa rangi: Sehemu ya 1: Taifa la Uislamu na Hija.
Hadithi ya mmoja wa wanamapinduzi mashuhuri wa Mmarekani mweusi ugunduzi wa Uislamu wa kweli, na jinsi unavyosuluhisha tatizo la ubaguzi wa rangi: Sehemu ya 2: Mtu mpya mwenye ujumbe mpya.
W. B. Bashyr Pickard B.A. (Cantab), L.D.(London), mwandishi maarufu ambaye ameandika Layla and Majnun, The Adventures of Alcassim, na A New World, anasimulia hadithi yake ya utafutaji wake wa Uislamu baada ya kupata majeraha mabaya katika Vita vya Pili vya Ulimwengu.
Hadithi ya profesa mshirika na baadaye mwandishi wa vitabu vitatu safari ya kuelekea Uislamu.
Mshindi wa Tuzo ya Wilbur ya 2003 ya kitabu bora cha mwaka kwenye mada ya dini, mwandishi na mshairi na kuonekana kwenye "Nightline" ya Ted Koppel inayoandika Hija, Michael Wolfe anaelezea motisha zake za kuukubali Uislamu.
Mshairi, mhakiki wa fasihi, mwandishi, mhariri mkuu wa Radio Personalities, na mwandishi wa vitabu vya "Beyond the Brim" na "Bazaar of Dreams" anaeleza sababu za yeye kuukubali Uislamu.
Hadithi ya jinsi mwanadiplomasia na balozi wa Ujerumani nchini Algeria alikubali Uislamu. Sehemu ya 1.
Hadithi ya jinsi mwanadiplomasia na balozi wa Ujerumani nchini Algeria aliukubali Uislamu. Sehemu ya 2.
Mwandishi wa gazeti la Frankfurter Zeitung, mojawapo ya magazeti yenye hadhi ya Ujerumani na Ulaya, anakuwa Muislamu na baadaye kutafsiri maana za Quran. Sehemu 1.
Mwandishi wa gazeti la Frankfurter Zeitung, mojawapo ya magazeti yenye hadhi ya Ujerumani na Ulaya, anakuwa Muislamu na baadaye kutafsiri maana za Quran. Sehemu 2.
Mwandishi wa habari wa zamani aliyefungwa huko Taleban Afghanistani, Yvonne Ridley anaielezea BBC kukutana kwake na Uislamu na nini kilimfanya kusilimu.
Anajulikana kwa slam dunks na "skyhook", Kareem Abdul-Jabbar anagundua upande mwingine wa maisha, hali ya kiroho, na kuukubali Uislamu.
Mmoja wa masahaba wakubwa, Salman Mwajemi, wakati mmoja Zoroastrian (Magian) anasimulia hadithi yake ya utafutaji wake wa dini ya kweli ya Mungu. Sehemu ya Kwanza: Kutoka Uzoroastria hadi Ukristo.
Utafutaji mrefu hatimaye unamalizika kwa Salman kukutana na Mtume aliyeahidiwa, na kupata uhuru wake na kuwa mmoja wa masahaba wake wa karibu.
Jinsi gani, Sara Bokker, mwigizaji wa zamani, mwanamitindo, mwalimu wa mazoezi ya mwili na mwanaharakati aliacha maisha ya kupendeza ya Miami kwaajili ya Uislamu na kupata ukombozi wa kweli katika Uislamu na kanuni za mavazi ya wanawake wa Kiislamu.
Orodha ya unazozipenda ipo tupu. Unaweza kuongeza makala kwenye orodha hii kwa kutumia zana za makala.
Orodha yako ya historia ipo tupu.
Kwa nini kujiandikisha? Tovuti hii ina miundo kadhaa uliyoundwa mahsusi kwa ajili yako, kama vile: vipendwa vyako, historia yako, kutia alama makala ambazo umezitazama awali, kuorodhesha makala zilizochapishwa tangu ulivyo tembelea mara ya mwisho, kubadilisha ukubwa wa herufi, na zaidi. Vipengele hivi vinatokana na vidakuzi na vitafanya kazi ipasavyo tu unapotumia kompyuta ile ile. Ili kuwezesha vipengele hivi kutoka kwa kompyuta yoyote, unapaswa kuingia wakati katika tovuti hii.
Tafadhali ingiza Jina lako la mtumiaji na anwani ya barua pepe kisha ubofye kitufe cha Tuma neno la siri. Utapokea neno la siri jipya hivi karibuni. Tumia neno la siri hili jipya kufikia tovuti.