L'articolo / video che hai richiesto non esiste ancora.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
요청한 문서 / 비디오는 아직 존재하지 않습니다.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
המאמר / הסרטון שביקשת אינו קיים עדיין.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
L'articolo / video che hai richiesto non esiste ancora.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
요청한 문서 / 비디오는 아직 존재하지 않습니다.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
המאמר / הסרטון שביקשת אינו קיים עדיין.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
Hadithi ya kusisimua ya Adamu iliyoelezewa kwenye marejeleo kutoka kwa Vitabu Vitakatifu.
Uumbwaji wa mwanamke wa kwanza, makao tulivu ya Peponi na mwanzo wa uadui baina ya Shetani na wanadamu.
Udanganyifu wa Shetani kwa Adamu na Hawa huko Mbinguni na baadhi ya mafundisho tunayoweza kujifunza kwayo.
Adamu, watoto wake, mauaji ya kwanza na kifo chake.
Baadhi ya matokeo ya kisasa kuhusu hali ya kawaida ya wanadamu kwa kulinganisha na baadhi ya ukweli wa Kurani.
Utangulizi wa nafsi ya Ibrahimu na nafasi ya juu aliyonayo katika Uyahudi, Ukristo, na Uislamu vile vile.
Ibrahimu anaharibu masanamu ya watu wake ili kuwathibitishia ubatili wa ibada yao.
Baadhi ya masimulizi ya safari ya Ibrahimu kwenda Misri, kuzaliwa kwa Ishmaeli, na safari ya Hajiri huko Parani.
Jaribio la maisha yote, Abrahamu anaona katika ndoto kwamba lazima amtoe sadaka “mwanae wa pekee”, lakini je, ni Isaka au Ishmaeli?
Ibrahimu anamtembelea tena mwanawe Ishmaeli, lakini wakati huu ili kutimiza kazi adhimu, ujenzi wa Nyumba ya Ibada, pahala patakatifu kwa wanadamu wote.
Hadithi fupi ya mama yetu Maria na kuzaliwa kimiujiza kwa Yesu.
Makala hii inaeleza yale yaliyompata Maryamu baada ya kuwa chini ya ulezi wa Mtume Zakaria. Inasimulia jinsi malaika Gabrieli alivyotangaza kuzaliwa kwa mtoto wa kipekee, jinsi alivyokabiliana na kujifungua mtoto wake, na kusimulia baadhi ya miujiza iliyotukia wakati Yesu alipozaliwa.
Mahali alizotajwa Isa mwana wa Maryamu katika Qur'ani na maneno ya Mtume Muhammad.
Hali halisi ya Yesu na ujumbe wake katika Kurani, na umuhimu wa Bibilia leo kuhusiana na imani za Waislamu.
Muujiza mwingine wa Yesu unaelezwa. Umuhimu halisi wa muujiza wa meza, kuenea kwa vyakula.
Makala hii inaelezea imani ya Waislamu kuhusu Isa na kusulubiwa. Pia inakanusha dhana ya uhitaji wa ‘dhabihu’ ili kulipia dhambi ya asili kwa niaba ya wanadamu.
Muhtasari wa baadhi ya istilahi zilizotumiwa na Kurani kwa ajili ya Isa na wafuasi wake kabla ya ujio wa Muhammad: "Bani Israeel”, “Eissa” na "Watu wa Kitabu".
Sehemu hii inachunguza maisha ya Mtume Isa, ujumbe wake, miujiza yake, wanafunzi wake na kile kinachotajwa juu yao katika Kurani Tukufu.
Sehemu hii inaangazia aya za Kurani Tukufu zinazozungumzia ulinzi wa Mwenyezi Mungu kwa Isa, wafuasi wake, ujio wake wa pili katika ulimwengu huu na yale atakayokumbana nayo Siku ya Kiyama.
Mwenyezi Mungu pekee ndiye chanzo cha msaada kwa walio katika dhiki.
Mungu aliwatuma Manabii kwa mataifa yote duniani.
Kuamini manabii wa Mungu ni sehemu muhimu ya imani ya Kiislamu. Sehemu ya 1 itawataja manabii wote kabla ya Mtume Muhammad, rehema na baraka za Mungu ziwe juu yake, waliotajwa katika maandiko ya Kiislamu kuanzia Adamu mpaka Ibrahimu na wanawe wawili.
Kuwaamini manabii wa Mungu ni sehemu muhimi ya imani ya Kiislamu. Sehemu ya 2 itataja manabii wote waliokuja kabla ya Mtume Muhammad, amani iwe juu yake, waliotajwa katika maandiko ya Kiislamu kuanzia Lutu hadi Yesu.
Mfululizo huu wa sehemu tatu una aya nyingi kutoka kwa Kurani Tukufu kuhusu Maryamu (Mama wa Isa) pamoja na kuzaliwa kwake, utoto wake, sifa zake za kibinafsi, na kuzaliwa kimiujiza kwa Isa.
Yesu na muujiza wake wa kwanza, na muhtasari wa wanachoamini Waislamu kumhusu.
Ibrahimu anawaalika baba yake Azar (Terah au Terakh katika Biblia) na umma kwenye Haki iliyoteremshwa kwake kutoka kwa Mola wake Mlezi.
Mabishano ya Ibrahimu na mfalme, na amri ya Mungu kuhamia Kanaani.
Wakristo wanamjua Maryamu, mamake Yesu. Vile vile Waislamu pia wanamtambua kama mamake Isa, au kwa Kiarabu, Umm Issa. Katika Uislamu Maria mara nyingi anaitwa Maryam bint Imran; Maryamu binti wa Imran. Makala haya yanatoa historia fulani kuhusu kulelewa kwake na Zakaria kwa hivyo aliweza kutumika hekaluni.
Orodha ya unazozipenda ipo tupu. Unaweza kuongeza makala kwenye orodha hii kwa kutumia zana za makala.
Orodha yako ya historia ipo tupu.
Kwa nini kujiandikisha? Tovuti hii ina miundo kadhaa uliyoundwa mahsusi kwa ajili yako, kama vile: vipendwa vyako, historia yako, kutia alama makala ambazo umezitazama awali, kuorodhesha makala zilizochapishwa tangu ulivyo tembelea mara ya mwisho, kubadilisha ukubwa wa herufi, na zaidi. Vipengele hivi vinatokana na vidakuzi na vitafanya kazi ipasavyo tu unapotumia kompyuta ile ile. Ili kuwezesha vipengele hivi kutoka kwa kompyuta yoyote, unapaswa kuingia wakati katika tovuti hii.
Tafadhali ingiza Jina lako la mtumiaji na anwani ya barua pepe kisha ubofye kitufe cha Tuma neno la siri. Utapokea neno la siri jipya hivi karibuni. Tumia neno la siri hili jipya kufikia tovuti.