요청한 문서 / 비디오는 아직 존재하지 않습니다.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
המאמר / הסרטון שביקשת אינו קיים עדיין.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
Ujumbe wa Uislamu ni sawa sawa na msingi wa ujumbe uliofunuliwa na dini zote, kwakuwa zote zimetoka katika asili moja, na sababu zinazopatikana katika dini.
Jukumu la Uislamu katika didi zingine za ulimwenguni, Hususani katika uhusiano na Mila ya Ukristo wa Kiyahudi.
Mtazamo wa baadhi ya imani ya Uislamu.
Kutazama baadhi ya vitendo muhimu vya Uislam, na maelezo mafupi ya Waislamu ni akina nani.
Baadhi ya Sifa za kipekee za Uislamu hazipatikani katika mifumo mingine ya imani na njia za maisha.
Baadhi ya sifa za kipekee za Uislamu hazipatikani katika mifumo mingine ya imani na njia za maisha. Sehemu ya pili.
Utangulizi mfupi wa Uislamu, dhana ya Mungu katika Uislamu, na ujumbe Wake wa msingi kwa wanadamu kwa kupitia kwa Manabii.
Jukumu la Kurani na Mtume Muhammad katika kufikisha ujumbe wa Mungu ulio safi, ambao haujabadilishwa kwa wanadamu, na maelezo ya jinsi ya kuishi njia ya Uislamu inayoelekea kwenye maisha bora.
Baadhi ya maswali ya kawaida yanayoulizwa kuhusu Uislamu. Sehemu ya 1: Uislamu ni nini? Waislamu ni wakina nani? Allah ni nani? Muhammad ni nani?
Baadhi ya maswali ya kawaida yanayoulizwa kuhusu uislamu. sehemu ya 2: Kuhusu mafundisho ya Uislamu na Kurani Tukufu.
Njia ya kiroho ni ipi katika Uislamu na nafasi yake ni ipi katika maisha kwa ujumla?
Dini ya Uislamu imejengwa na Kurani (Neno la Mungu) na Sunnah (mafundisho na sifa za Mtume Muhammad). sehemu ya 1: Kurani: Chanzo cha kwanza cha Uislam.
Dini ya Uislamu imejengwa na Kurani (Neno la Mungu) na Sunnah (mafundisho na sifa za Mtume Muhammad). sehemu ya 2: Sunnah: Chanzo cha Pili cha Uislamu
Zaidi ya bilioni ya watu kutoka asli zote, nchi na tamaduni – sehemu hii inakupa utangulizi wa kuwa Waislamu ni nani na mchango wao katika dunia.
Zaidi ya bilioni ya watu kutoka asli zote, nchi na tamaduni – muendelezo wa Mchango wa Muislamu katika sayansi.
Nguzo itawakilisha umuhimu wa Uislamu: msingi wa imani, vitendo vya dini, Kurani, mafundisho ya Mtume Muhammad, na Shariah. Nakala rahisi amabayo inaunganisha Uislamu kwa ufupi.
Kuangalia kwa kifupi dhana tatu kuu za mwanzo kuhusu Uislamu.
Muendelezo wa sehemu ya kwanza, ambayo tumeangalia dhana ya nne hadi ya kumi.
Waislamu wanataka kusirikiana kimawazo katika maisha na kila mtu wanae kutana naye. Wanataka wajisikie vizuri kama wao na hii ndio sababu.
Kuanzia Waliosilimu kwenye Uislam hadi wote watafuta ukweli.
Msingi wa Imani ya Uislamu: imani katika Mungu na ibada yake, na njia ambayo mtu anaweza kumpata Mungu.
Mambo mawili ya kwanza kuhusu imani katika Mungu inamaanisha, imani katika uwepo wake na imani katika enzi yake kuu.
Jambo la tatu na la nne kuhusu imani katika Mungu inamaanisha, imani ya kuwa Yeye Pekee anastahili kuabudiwa na kumjua Mungu kupitia majina na sifa Zake.
Ukweli halisi wa malaika, uwezo wao, kazi, majina na idadi.
Kwa nini Mungu alifunua ujumbe wake kwa njia ya maandiko, na maelezo mafupi ya maandiko mawili ya Mungu: Biblia, na Kurani.
Kusudi na jukumu la Manabii, asili ya ujumbe ambao walileta kwa wanadamu, na msisitizo wa kuwa walikuwa wanadamu tu wasio na sifa za kimungu.
Umuhimu wa imani katika maisha ya baadaye, na pia mtazamo wa nini kinamsubiri mtu kaburini, Siku ya Hukumu, na Mwisho Mkuu.
Imani potofu ya, maamuzi,na uhusiano kati ya Ujuzi wa milele wa Mungu na Uwezo wa tendo la mwanadamu na hatma.
Majina na Wajibu
Muunganisho kati ya malaika na wanadamu.
Monotheazimu katika Uislam ni nini?
Fikia wokovu kupitia ibada ya kweli
monotheazimu ni njia ya wokovu katika Uislamu.
Toba inaashiria njia ya wokovu.
Satani (Shetani) alikuwa sababu ya dhambi ya kwanza kuwahi kufanywa na mpaka leo anawashawishi watu kutokuamini, uonevu na makosa.
Majini huishi wapi na jinsi ya kujilinda kutokana nao.
Ufafanuzi wa dhana ya Kiislamu ya Mungu mmoja, ambayo inajumuisha kuamini upekee wa Mungu katika enzi yake, haki ya kuabudiwa na kwa Majina na Sifa zake.
Majini ni nini?
Sifa za malaika.
Maelezo ya kina kuhusu sehemu ya kwanza ya ushuhuda wa imani “Hakuna apaswaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mungu (La ilaaha ‘ill-Allah).”
Je, Waislamu wanaabudu Mungu sawa na Wayahudi na Wakristo? Nini maana ya neno Allah? Je, Mwenyezi Mungu ndiye Mwezi-mungu?
Swali la iwapo Mungu anaweza kuonekana katika maisha haya kwa Mitume, watakatifu, na watu wa kawaida, na kama Ataonekana Akhera.
Rehema, kama inavyodhihirika katika maisha ya dunia na Akhera.
Jinsi Huruma ya Mungu inavyowazunguka wale wanaoanguka katika dhambi.
Jinsi Rehema inavyodhihirika kwa Mwenyezi Mungu, na mifano ya rehema ya Mtume na Maswahaba wake.
Rehema ilienea kwa maadui na wanyama.
Uumbaji wa kustaajabisha wa Mungu hutunyenyekeza na kutulazimisha Kumtambua na Kumsifu.
Katika makala hii mwandishi anavuta mawazo yetu kwa baadhi ya njia ambazo tunaweza kutambua ukarimu wa Mungu.
Maelezo ya mojawapo ya jina zuri la Mungu, al-Mujeeb, ambalo linatia matumaini ndani yetu na hutufariji na kutufanya tutambue kwamba hatuko peke yetu.
Ufafanuzi wa vitendo wa majina mawili ya Mwenyezi Mungu yanayorudiwa mara kwa mara: ar-Rahman na ar-Raheem, na asili ya Rehema yote ya Mwenyezi Mungu.
Mwenyezi Mungu yuko juu ya mbingu, juu ya viumbe vyake.
Majibu ya Kiislamu ya kwanza ya baadhi ya “Maswali Makuu” katika Maisha ambayo binadamu wote hatimaye huuliza, Ni Nani Aliyetuumba?
Majibu ya kiislamu kwa swali la pili kati ya baadhi ya 'Maswali makuu' ambayo wanadamu hujiuliza, Mbona Tuko Hapa?
Majibu ya Kiislamu kwa swali la tatu kati ya baadhi ya “Maswali Makuu” ambayo wanadamu wote bila shaka hujiuliza, Tunawezaje kumtumikia Muumba wetu?
Utangulizi wa swali la kutatanisha zaidi katika historia ya binadamu, na mjadala kuhusu vyanzo ambavyo vinaweza kutumika kupata jibu. Sehemu ya 1: Chanzo cha jibu.
Utangulizi kwa swali la kutatiza zaidi katika historia ya binadamu, na mjadala kuhusu vyanzo ambavyo vinaweza kutumika kupata jibu. Sehemu ya 2: Mtazamo katika Biblia na imani ya Kikristo kuhusu mada hii.
Utangulizi kwa swali la kushangaza zaidi katika historia ya binadamu, na mjadala kuhusu vyanzo ambavyo vinaweza kutumika kupata jibu. sehemu ya 3: Uchunguzi wa Maandiko ya Kihindu, na hitimisho kwa jambo hilo.
Je, “Mantiki” ni chanzo cha kutosha katika kutafuta madhumuni ya maisha?
Ufafanuzi wa Uislamu kuhusiana na lengo la maisha, na mjadala mfupi juu ya maana ya ibada.
Jamii ya kisasa imeunda miungu ya uongo ambayo huitumikia, na hivyo kutupa ulimwengu katika hali ya sintofahamu.
Kusudi la uumbaji wa wanadamu ni ibada. Sehemu ya 1: Haja ya binadamu ya ibada.
Lengo la uumbaji wa wanadamu ni ibada. Sehemu ya 2: Jinsi dini ya Uislamu imeagiza njia za kumkumbuka Mungu.
Kusudi la uumbaji wa wanadamu ni ibada. Sehemu ya 3: Katika mfumo wa Kiislamu, kila kitendo cha binadamu kinaweza kubadilishwa kuwa kitendo cha ibada.
Kusudi la uumbaji wa wanadamu ni ibada. Sehemu ya 4: Kupinga kusudi la uumbaji wa binadamu basi ni dhambi kubwa zaidi ambao mwanadamu anaweza kufanya.
Sisi si Waislamu wa kwanza au wa pekee kutafakari kuhusu ugeni wetu.
Hadithi ya kusisimua ya Adamu iliyoelezewa kwenye marejeleo kutoka kwa Vitabu Vitakatifu.
Uumbwaji wa mwanamke wa kwanza, makao tulivu ya Peponi na mwanzo wa uadui baina ya Shetani na wanadamu.
Udanganyifu wa Shetani kwa Adamu na Hawa huko Mbinguni na baadhi ya mafundisho tunayoweza kujifunza kwayo.
Adamu, watoto wake, mauaji ya kwanza na kifo chake.
Baadhi ya matokeo ya kisasa kuhusu hali ya kawaida ya wanadamu kwa kulinganisha na baadhi ya ukweli wa Kurani.
Utangulizi wa nafsi ya Ibrahimu na nafasi ya juu aliyonayo katika Uyahudi, Ukristo, na Uislamu vile vile.
Ibrahimu anaharibu masanamu ya watu wake ili kuwathibitishia ubatili wa ibada yao.
Baadhi ya masimulizi ya safari ya Ibrahimu kwenda Misri, kuzaliwa kwa Ishmaeli, na safari ya Hajiri huko Parani.
Jaribio la maisha yote, Abrahamu anaona katika ndoto kwamba lazima amtoe sadaka “mwanae wa pekee”, lakini je, ni Isaka au Ishmaeli?
Ibrahimu anamtembelea tena mwanawe Ishmaeli, lakini wakati huu ili kutimiza kazi adhimu, ujenzi wa Nyumba ya Ibada, pahala patakatifu kwa wanadamu wote.
Hadithi fupi ya mama yetu Maria na kuzaliwa kimiujiza kwa Yesu.
Makala hii inaeleza yale yaliyompata Maryamu baada ya kuwa chini ya ulezi wa Mtume Zakaria. Inasimulia jinsi malaika Gabrieli alivyotangaza kuzaliwa kwa mtoto wa kipekee, jinsi alivyokabiliana na kujifungua mtoto wake, na kusimulia baadhi ya miujiza iliyotukia wakati Yesu alipozaliwa.
Mahali alizotajwa Isa mwana wa Maryamu katika Qur'ani na maneno ya Mtume Muhammad.
Hali halisi ya Yesu na ujumbe wake katika Kurani, na umuhimu wa Bibilia leo kuhusiana na imani za Waislamu.
Muujiza mwingine wa Yesu unaelezwa. Umuhimu halisi wa muujiza wa meza, kuenea kwa vyakula.
Makala hii inaelezea imani ya Waislamu kuhusu Isa na kusulubiwa. Pia inakanusha dhana ya uhitaji wa ‘dhabihu’ ili kulipia dhambi ya asili kwa niaba ya wanadamu.
Muhtasari wa baadhi ya istilahi zilizotumiwa na Kurani kwa ajili ya Isa na wafuasi wake kabla ya ujio wa Muhammad: "Bani Israeel”, “Eissa” na "Watu wa Kitabu".
Sehemu hii inachunguza maisha ya Mtume Isa, ujumbe wake, miujiza yake, wanafunzi wake na kile kinachotajwa juu yao katika Kurani Tukufu.
Sehemu hii inaangazia aya za Kurani Tukufu zinazozungumzia ulinzi wa Mwenyezi Mungu kwa Isa, wafuasi wake, ujio wake wa pili katika ulimwengu huu na yale atakayokumbana nayo Siku ya Kiyama.
Mwenyezi Mungu pekee ndiye chanzo cha msaada kwa walio katika dhiki.
Mungu aliwatuma Manabii kwa mataifa yote duniani.
Kuamini manabii wa Mungu ni sehemu muhimu ya imani ya Kiislamu. Sehemu ya 1 itawataja manabii wote kabla ya Mtume Muhammad, rehema na baraka za Mungu ziwe juu yake, waliotajwa katika maandiko ya Kiislamu kuanzia Adamu mpaka Ibrahimu na wanawe wawili.
Kuwaamini manabii wa Mungu ni sehemu muhimi ya imani ya Kiislamu. Sehemu ya 2 itataja manabii wote waliokuja kabla ya Mtume Muhammad, amani iwe juu yake, waliotajwa katika maandiko ya Kiislamu kuanzia Lutu hadi Yesu.
Mfululizo huu wa sehemu tatu una aya nyingi kutoka kwa Kurani Tukufu kuhusu Maryamu (Mama wa Isa) pamoja na kuzaliwa kwake, utoto wake, sifa zake za kibinafsi, na kuzaliwa kimiujiza kwa Isa.
Yesu na muujiza wake wa kwanza, na muhtasari wa wanachoamini Waislamu kumhusu.
Ibrahimu anawaalika baba yake Azar (Terah au Terakh katika Biblia) na umma kwenye Haki iliyoteremshwa kwake kutoka kwa Mola wake Mlezi.
Mabishano ya Ibrahimu na mfalme, na amri ya Mungu kuhamia Kanaani.
Wakristo wanamjua Maryamu, mamake Yesu. Vile vile Waislamu pia wanamtambua kama mamake Isa, au kwa Kiarabu, Umm Issa. Katika Uislamu Maria mara nyingi anaitwa Maryam bint Imran; Maryamu binti wa Imran. Makala haya yanatoa historia fulani kuhusu kulelewa kwake na Zakaria kwa hivyo aliweza kutumika hekaluni.
Orodha ya unazozipenda ipo tupu. Unaweza kuongeza makala kwenye orodha hii kwa kutumia zana za makala.
Orodha yako ya historia ipo tupu.
Kwa nini kujiandikisha? Tovuti hii ina miundo kadhaa uliyoundwa mahsusi kwa ajili yako, kama vile: vipendwa vyako, historia yako, kutia alama makala ambazo umezitazama awali, kuorodhesha makala zilizochapishwa tangu ulivyo tembelea mara ya mwisho, kubadilisha ukubwa wa herufi, na zaidi. Vipengele hivi vinatokana na vidakuzi na vitafanya kazi ipasavyo tu unapotumia kompyuta ile ile. Ili kuwezesha vipengele hivi kutoka kwa kompyuta yoyote, unapaswa kuingia wakati katika tovuti hii.
Tafadhali ingiza Jina lako la mtumiaji na anwani ya barua pepe kisha ubofye kitufe cha Tuma neno la siri. Utapokea neno la siri jipya hivi karibuni. Tumia neno la siri hili jipya kufikia tovuti.