요청한 문서 / 비디오는 아직 존재하지 않습니다.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
המאמר / הסרטון שביקשת אינו קיים עדיין.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
Makala ya pili kati ya sehemu mbili zinazofafanua tofauti za kimsingi kati ya Pepo na maisha ya dunia. Sehemu ya 2: Ubora wa furaha na fahari yake ukilinganisha na maisha haya.
Mtazamo wa asili ya Pepo kama ilivyoelezwa katika Kurani na maneno ya Mtume Muhammad.
Makala ya kwanza kati ya sehemu mbili zinazofafanua tofauti za kimsingi kati ya Pepo na maisha ya dunia hii. Sehemu ya 1: Kutokuwepo kwa vile vitu vinavyosababisha huzuni, maumivu na mateso katika maisha haya.
Njia ya wokovu kutokana na mtazamo wa Kiislamu.
Jinsi Uislamu unavyofafanua furaha ya kweli na amani moyoni.
Uislamu unakubaliana na njia za kisayansi za kupata furaha.
Amri za Mungu zimeundwa ili kuleta furaha.
Mtazamo wa jinsi watu wanavyofafanua amani ya ndani na jinsi wanavyojitahidi kuipata; angalia pia vizuizi vinavyotuzuia kupata amani ya ndani.
Nakala hii ya pili inatoa mifano halisi na hadithi zinazoonyesha umuhimu wa kutambua kwamba kila mtu maishani anakabiliwa na vizuizi ndani ya uwezo wake na vizuizi vilivyo nje ya uwezo wake na kwamba vizuizi vilivyo nje ya uwezo wa mtu vinapaswa kuzingatiwa kama hatima kutoka kwa Mungu Mwenyezi.
Katika ulimwengu huu wenye misukosuko, uvumilivu na kutofanya maisha haya kuwa lengo kuu, ni suluhisho muhimu kwa kutatua vizuizi ambavyo viko katika udhibiti wetu.
Amani ya kweli ya ndani hupatikana kwa kujitiisha kwa Mungu Mwenyezi, kuishi maisha haya kwa ajili Yake, kumkumbuka na kwa kuifanya Akhera kuwa kipaumbele kuliko maisha haya.
Upendeleo kwa wanadamu kumuabudu Mungu Mmoja.
Hakuna ugonjwa au jeraha linalompata mwanadamu bila idhini ya Mungu.
Hatua za kuchukua unapopata ugonjwa au jeraha.
Baadhi ya njia za kupata furaha.
Hakika, katika kumkumbuka Mungu mioyo hupata pumziko. (Kurani 13:28)
Furaha katika maisha haya na wokovu wetu akhera hutegemea uvumilivu.
Shukuru kila siku kwa baraka Zake juu yako.
Na kwa Mungu Peke waumini watumainie.
Maelezo mafupi ya baadhi ya uzuri wa Uislamu.
Maelezo mafupi ya mazuri kadhaa katika dini ya Uislamu.
Sehemu ya tatu na ya mwisho ya uzuri wa Uislamu. Tumechagua kumi kati ya mamia halisi, je, umepata zingine?
Mageuzi ya fikira za wanadamu kwa njia ambayo furaha inaweza kupatikana.
Mtu hatakiwi kukata tamaa kutoka kwenye rehema za Mwenyezi Mungu kwa kulinganisha dhambi ambazo mtu alikuwa amezitenda kwenye maisha yake, kwa hakika Mwenyezi Mungu , Mwingi wa Kusamehe na Mwenye Kurehemu, anaweza kusamehe zambi zote.
Usawa wa Kiasili ulioungwa mkono na Uislamu na mifano ya kweli ya kihistoria. sehemu ya 2: Mifano kutoka enzi za Mtume.
Usawa wa Kiasili ulioungwa mkono na Uislamu na mifano ya kweli ya kihistoria. sehemu ya 3: Hija na Utofauti unaopatikana kati ya Waislamu wa leo.
Usawa wa Kiasili ulioungwa mkono na Uislamu na mifano ya kweli ya kihistoria. sehemu ya 1: Ubaguzi ndani ya Uyaudi Jadi za Kikristo.
Katika usawa wa roho ya Uislamu katika kutafuta maarifa, Waislamu na jamii ya Kiislamu wamecheza nafasi nyeti ndani ya maendeleo ya sayansi na teknolojia ndani ya ulimwengu tunaoujua leo.
Kauli za wasomi mbalimbali za wasiokuwa Waislamu juu ya ukuu wa dini ya Uislamu kama Jamii. Sehemu ya 1: Utangulizi.
Kauli za wasomi mbali mbali wasio Waislamu kuhusu ukuu wa dini ya Uislamu kama jamii. Sehemu ya 2: Kauli zaidi.
Kauli za wasomi wasio Waislamu ambao wamejifunza Uislamu kuhusu Mtume. Sehemu ya 2: Kauli zao.
Kauli za wasomi wasio Waislamu ambao wamejifunza Uislamu kuhusu Mtume. Sehemu ya 3: Taarifa za nyongeza.
Kauli za wasomi wa magharibi ambao wamejifunza Uislamu kuhusu Kurani. Sehemu ya 1: Utangulizi na taarifa zao.
Kauli za wasomi wa magharibi ambao wamejifunza Uislamu kuhusu Kurani. Sehemu ya 2: Taarifa za nyongeza.
Kauli za wasomi wasio Waislamu ambao wamejifunza Uislamu kuhusu Mtume. Sehemu ya 1: Utangulizi.
Orodha ya unazozipenda ipo tupu. Unaweza kuongeza makala kwenye orodha hii kwa kutumia zana za makala.
Orodha yako ya historia ipo tupu.
Kwa nini kujiandikisha? Tovuti hii ina miundo kadhaa uliyoundwa mahsusi kwa ajili yako, kama vile: vipendwa vyako, historia yako, kutia alama makala ambazo umezitazama awali, kuorodhesha makala zilizochapishwa tangu ulivyo tembelea mara ya mwisho, kubadilisha ukubwa wa herufi, na zaidi. Vipengele hivi vinatokana na vidakuzi na vitafanya kazi ipasavyo tu unapotumia kompyuta ile ile. Ili kuwezesha vipengele hivi kutoka kwa kompyuta yoyote, unapaswa kuingia wakati katika tovuti hii.
Tafadhali ingiza Jina lako la mtumiaji na anwani ya barua pepe kisha ubofye kitufe cha Tuma neno la siri. Utapokea neno la siri jipya hivi karibuni. Tumia neno la siri hili jipya kufikia tovuti.