요청한 문서 / 비디오는 아직 존재하지 않습니다.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
המאמר / הסרטון שביקשת אינו קיים עדיין.
The article/video you have requested doesn't exist yet.
Sayansi ya kisasa imegundua maelezo kuhusu angahewa yailiyotajwa katika Kurani zaidi ya miaka 1400 iliyopita.
Maelezo ya kisayansi na Kurani kuhusu uumbaji wa ulimwengu.
Maelezo ya Kurani kuhusu maisha katika bahari ya kina, na giza ndani yake, na jinsi inathibitisha matokeo ya kisayansi ya kisasa.
Kurani yaeleza kuhusu eneo la chini kabisa ardhini.
Makala hii inaelezea uwiano kati ya maelezo ya kisayansi yaliyokubaliwa zaidi ya asili na upanuzi wa Ulimwengu, na maelezo ya asili na upanuzi wake kwenye Kurani.
Matabaka saba ya ardhi ambayo wanasayansi wamegundua hivi karibuni yalitajwa na Mtume Muhammad miaka 1400 iliyopita.
Ushahidi kutoka Bibilia kuwa Muhammad si Mtume wa uwongo. Sehemu ya 2: Uchambuzi kuhusu jinsi utabiri ulio katika Kumbukumbu la Torati 18:18, na vile sifa za Muhammad zinaafikiana na utabiri huu zaidi ya wengine.
Ushahidi wa Biblia kwamba Muhammad si nabii wa uongo. Sehemu ya 3: Majadiliano juu ya utabiri uliotajwa katika Yohana 14:16 wa Paraklete, au “Msaidizi”, na jinsi Muhammad anavyoafikiana na utabiri huu zaidi ya wengine.
Ushahidi wa Bibilia kuwa Muhammad si Mtume wa uongo. Sehemu ya 4: Uchambuzi wa ziada kuhusu utabiri uliotajwa katika Yohana 14:16 wa Paraklete, au 'Msaidizi' na jinsi Muhammad anaafikiana na utabiri huu zaidi ya wengine.
Ushuhuda kutoka Bibilia kuwa Muhammad si Mtume wa uongo. Sehemu ya 1: Changamoto katika kuchambua utabiri wa bibilia, na shuhuda ya wasomi walioshuhudia kuwa Muhammad alizungumziwa katika Bibilia.
Uandishi wa Kurani wakati wa Muhammad na utunzaji wake hadi leo hii.
Uhifadhi wa Kurani akilini kwenye zama za Muhammad, rehema za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, na uhifadhi wake leo na mamilioni ya Waislamu.
Utimilifu wa matabiri mbalimbali katika Kurani ni ushahidi wazi kwamba umetoka kwa Mwenyezi Mungu.
Kushindwa kwa Waarabu wa Wakati wa Mtume, waliokuja baada yake na Wasio Waarabu kuitikia wito wa Kurani: kutoa kitu chochote kinachofanana nacho.
Baadhi ya ushahidi kwamba Muhammad hakuweza kuwa mwandishi wa Qur'ani.
Ushahidi kutoka Bibilia kuwa Muhammad si Mtume wa uwongo. Sehemu ya 2: Uchambuzi kuhusu jinsi utabiri ulio katika Kumbukumbu la Torati 18:18, na vile sifa za Muhammad zinaafikiana na utabiri huu zaidi ya wengine.
Ushahidi wa Biblia kwamba Muhammad si nabii wa uongo. Sehemu ya 3: Majadiliano juu ya utabiri uliotajwa katika Yohana 14:16 wa Paraklete, au “Msaidizi”, na jinsi Muhammad anavyoafikiana na utabiri huu zaidi ya wengine.
Ushahidi wa Bibilia kuwa Muhammad si Mtume wa uongo. Sehemu ya 4: Uchambuzi wa ziada kuhusu utabiri uliotajwa katika Yohana 14:16 wa Paraklete, au 'Msaidizi' na jinsi Muhammad anaafikiana na utabiri huu zaidi ya wengine.
Ushahidi wa dai kuwa Muhammad alikuwa nabii wa kweli na si muongo. Sehemu ya 2: Kuangalia dai la kuwa Muhammad alikuwa muongo.
Ushahidi wa madai kuwa Muhammad alikuwa nabii wa kweli na siyo muongo. Sehemu ya 3: Uchunguzi wa madai mengine ya uwongo yaliyotolewa na wakosoaji.
Asili ya miujiza iliyofanywa mikononi mwa manabii.
Kugawanywa kwa mwezi, na safari ya Mtume kwenda Yerusalemu na kupaa Mbinguni.
Kutajwa kwa miujiza mingine mbali mbali ya Mtume, rehema na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake.
Kutazama katika aya za Biblia ambazo zimeweka vigezo vya ukweli kwenye madai ya Utume.
Tabiri za Mtume Muhammad zilitimia katika uhai wake na baada ya kifo chake. Tabiri hizi ni uthibitisho wa wazi wa utume wa Muhammad rehema na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake.
Hadithi zilizosimuliwa na Mtume Muhammad za watu wa zamani ni sehemu ya ushahidi wa Utume wake.
Makala fupi inayoelezea nini kinajumuisha Sunnah, na nafasi yake katika Sheria ya Kiislamu. Sehemu ya Pili: Jinsi Sunna inavyotofautiana na Kurani, na nafasi ya Sunnah katika Sheria ya Kiislamu.
Maisha ya Mtume Muhammad yaliongozwa na Mungu na hili lilidhihirika tangu akiwa mdogo sana.
Maisha ya Mtume Muhammad yalibadilika sana baada ya ufunuo kuanza. Jinsi alivyojirekebisha ilikuwa ni moja ya dalili za wazi za Utume.
Makala fupi inayoelezea nini kinajumuisha Sunnah, na nafasi yake katika Sheria ya Kiislamu. Sehemu ya Kwanza: Ufafanuzi wa Sunnah, maana yake, na aina za ufunuo.
Ushahidi wa madai kuwa Muhammad alikuwa nabii wa kweli na si muongo. Sehemu ya 1: Baadhi ya ushahidi uliopelekea masahaba mbalimbali kuamini utume wake.
Kuna tabiri mbalimbali zilizotajwa ndani ya Kurani ambazo zilimzungumzia Mtume Muhammad. Utimilifu wa tabiri hizi umeandikwa vyema katika vitabu vya Seerah, au wasifu wa Mtume kama ilivyoandikwa na wanafunzi wake.
Sehemu ya pili ya hoja yenye mantiki inayothibitisha kwamba ukweli ni kamili na sio tegemezi, kupitia uchunguzi wa mafunzo na maadili katika nyakati na sehemu mbalimbali.
Sehemu ya kwanza ya hoja yenye mantiki inayothibitisha kwamba ukweli ni kamili na sio tegemezi, kupitia uchunguzi wa mafunzo na maadili katika nyakati na sehemu mbalimbali.
Jinsi mifumo tata inathibitisha uwepo wa Mungu na kupinga nadharia ya Darwin.
Ingawa mtu anaweza kukataa kuwepo kwa Mwenyezi Mungu, lakini ndani ya moyo wake, ni ukweli ambao hawezi kuukanusha.
Kushindwa kuelewa baadhi ya kazi za Mungu sio sababu ya kupuuza kuwepo kwake.
Orodha ya unazozipenda ipo tupu. Unaweza kuongeza makala kwenye orodha hii kwa kutumia zana za makala.
Orodha yako ya historia ipo tupu.
Kwa nini kujiandikisha? Tovuti hii ina miundo kadhaa uliyoundwa mahsusi kwa ajili yako, kama vile: vipendwa vyako, historia yako, kutia alama makala ambazo umezitazama awali, kuorodhesha makala zilizochapishwa tangu ulivyo tembelea mara ya mwisho, kubadilisha ukubwa wa herufi, na zaidi. Vipengele hivi vinatokana na vidakuzi na vitafanya kazi ipasavyo tu unapotumia kompyuta ile ile. Ili kuwezesha vipengele hivi kutoka kwa kompyuta yoyote, unapaswa kuingia wakati katika tovuti hii.
Tafadhali ingiza Jina lako la mtumiaji na anwani ya barua pepe kisha ubofye kitufe cha Tuma neno la siri. Utapokea neno la siri jipya hivi karibuni. Tumia neno la siri hili jipya kufikia tovuti.